Sunday, October 7, 2012

HATA KWETU WAPO

Kama wanachama wa Freemason wajuanavyo kwa alama zao, Wadau wa Bwimbi a.k.a unga nao wana namna ya kujulishana.
Hii ni alama mojawapo kuwa huku kwetu pia wapo, mzigo upo sehemu.
Masikini kwetu Uswazi tumeshaingiliwa sasa.
Mola awanusuru wanetu na dhahama hii..........


No comments:

Post a Comment