Friday, September 28, 2012

ROAD SIDE CAFES

  Migahawa hii...........
ya kando ya barabara.
Chai, Chapati na Supu asubuhi, siku inaendelea vyema

1 comment:

  1. huku iko kila kona ila imeboreka kwa vile ni ruhusa kwa kila mtu kujitafutia riziki kwa stahili hii.... ifikapo mchana hadi jioni kando mwa barabara hugeuka mighahawa mikubwa tu.. unapaki gari lako na kuagiza msosi... asilimia kubwa wa wakati wa miji mikubwa hula migahawani, na ya aina hii ndio iko mingi... :)

    ReplyDelete