Tuesday, September 18, 2012

KITUNDA TSUNAMI

Kitunda Tsunami jumapili,
Kwa ajili ya kumtembelea mgonjwa Bw Kulwa Malembo.
Mzee mwayai na Mzee CK
Mgonjwa sasa anaweza kutembea japo kwa kujikongoja, si haba.
Tatizo limebakia uvimbe wa mguu uliotokana na chanjo "sarago" alizofanyiwa.
Sote tunamuombea Mungu amponye haraka.

No comments:

Post a Comment