Thursday, August 30, 2012

NI MWEZI MUHIMU KWA WADAU WETU WA DODOMA

                          
Kwaheri August,
Karibu September.
Kwa Wadau wetu wa Dodoma, huu ni mwezi wenye kumbukumbu ya aina yake.
Unawakumbuka Kulwa na Dotto waliozaliwa tarehe tofauti???
Ndivyo ilivyo kwa Mapacha hawa
01 SEPTEMBA
"Kulwa" MASEKE MGABHO
anatimiza miaka kadhaa
02 SEPTEMBA
"Dotto" SARAH MSALYA MASEKE
nae anatimiza miaka kadhaa
Na
11 SEPTEMBA
Ndoa ya Mapacha hawa inafikisha miaka kadhaa

HAPPY HAPPY ANNIVERSARIES WADAU MASEKE & SARAH

1 comment:

  1. My dear Uncle and Aunt, I wish you many blessings on your Birthdays and Anniversary. May God bless you always.

    ReplyDelete