Thursday, August 2, 2012

MAISHA HAYA MPAKA LINI??

Jumatano, Nyerere Rd Vingunguti
Sijui ni maisha magumu au mazoea.
Mheshimiwa huyu akihatarisha maisha yake kwa kujaribu kukomba mabaki ya mafuta toka kwenye Tanker. Aghalabu akiwa mwenye bahati huambulia robo au nusu lita hivi.
Na bei elekezi ya Ewura kwa jana ilikuwa Petroli 2010 na Dizeli 1945.

No comments:

Post a Comment