Wednesday, August 29, 2012

HUU SI UUNGWANA HATA KIDOGO

 
 
 
 
 
 
Jumanne, Mnazi mmoja
Serikali imekuwa inawahimiza watu wake kujiajiri.
Bodaboda imekuwa njia mojawapo ya vijana wengi kujiajiri. Lakini cha kustaabisha serikali hiyohiyo imekuwa mbele kuwasumbua na kuwanyanyasa badala ya kuwaelimisha.
Hawa nao ni watanzania wanayo haki ya kufanya shughuli zao popote ilimradi hawavunji sheria.
Iweje sasa kuingia mjini ni kosa???????
Mbaya zaidi waliopewa kazi ya kusimamia sheria ya Bodaboda kutoingia mjini tunaweza kusema wapowapo tu.........
Hawana vitambulisho,
Hawana mavazi rasmi ya utambuzi,
Wana Lugha chafu..........
Hakika huu si uungwana wanaofanyiwa Bodaboda.
Picha from my Nokia

No comments:

Post a Comment