Tuesday, August 7, 2012

BONYOKWA HII TENA

 Nyungo za Ving'amuzi na Umeme teletele
 Vijiwe vyetu
Na wahudumu fasta
Jumamosi
Hii ndiyo Bonyokwa yetu
Nilikuwepo huko kwenye "Site" ya Meja Msengi kushuhudia akianzia ujenzi wa itakayokuwa residence yake. Tukapata na fursa ya kuvinjali hapa na pale.

No comments:

Post a Comment