Tuesday, July 17, 2012

KINYEREZI YETU

Jumapili
Weekend baada ya kuwa nimeshinda home, baadae nikatoka kidogo kuona madhari ya Kinyerezi yetu

Kuna mabadiliko makubwa na ya haraka, lakini madhari nzuri bado zipo
Nyumba nzuri za kisasa zinaota kila uchao
Lakini msafara wa Mamba, na Kenge nao wapo.
Bado kuna vyoo vya hali duni kabisa

No comments:

Post a Comment