Monday, July 2, 2012

KIKAO CHA 18 CHA CHENDANE

Keneth,
Jembe la vikao, Agness

Mjadala
Hoja
Mzambarauni Gongo la Mboto, Jumapili
Baada ya kuahirishwa jumapili iliyopita, Kikao kiliendelea weekend hii, Wajumbe wakakutana kwa Bw. Sospeter Kwesi, Mzambarauni Gongo la Mboto.
Pamoja na kikao cha kawaida tukapata nafasi ya kumwona Mh Keneth Sospeter. Wengi wa wajumbe ndio kwanza wamemwona tokea alivyozaliwa miezi mitatu iliyopita.
Uncle Agness amepongezwa kwa kuwa mhudhuriaji mzuri wa vikao.

1 comment:

  1. Kazi nzuri sana mnayofanya. Dumisheni umoja daima.

    IDUMU CHENDANE FOUNDATION

    ReplyDelete