Saturday, June 9, 2012

WANAFUNZI WANAPOCHUKUA SHERIA MKONONI



Kawawa Road, maeneo ya Msimbazi Mission leo asubuhi.
Wanafunzi walipoamua kufunga barabara wakidai kuwekewa matuta, baada ya ajali za mara kwa mara za kugongwa kwa wenzao katika eneo la kuvukia.

No comments:

Post a Comment