Monday, June 4, 2012

CHENDANE FOUNDATION, KIKAO CHA 17

Kikao cha 17 cha Chendane Foundation kilikuwa 27.05.2012
Ulongoni, Gongo la Mboto kwa Mh. Eliud Kaitira
Kikao kikafunguliwa kama ada
Mijadala mizito
Mapitio makini
Kwisha kikao wajumbe, kumbe waliandaliwa msosi wa nguvu
Kikao cha 18 kitakuwa tarehe 24 Juni 2012
Mzambarauni, Gongo la Mboto
kwa Mh Sospeter Lyanga Kwesi

1 comment:

  1. Eddy.....Hello!! Kwa wale wote ambao hawajajiunga na Chindane,kupitia taarifa hii ya mr blog na M/kiti wa Chindane,niwaombe karibuni mjiunge nasi,vikao vyetu vinaendelea safari hii tuko Mzambarauni kwa Katibu wetu ndg kwesi!!!! tazama ilivyo vyema ndugu wakae pamoja tena kwa upendo... inaleta faraja na amani ninapoona picha hizi. karibu sana...

    ReplyDelete