Wednesday, May 23, 2012

KUSOMA KWA MALENGO


Mdau lengo lake la kupiga shule kwa sana ni siku moja kumiliki Hummer.
Njia mojawapo ya kumkumbusha lengo hili ni kupiga kitabu Hummer likiwa pembeni.

1 comment:

  1. hii nimei penda sana.nami inabidi nitafute model ya kitita hamasa changu.
    big up sana

    ReplyDelete