Thursday, May 31, 2012

MASIKINI BARABARA YETU YA UHURU

Masikini barabara yetu ya Uhuru, katikati ya jiji letu.
Zamani ikiwa njia kuu ya kuingilia Viongozi wa Kimataifa.
Leo hii mmhhh, hoi taabani.
Hapa ni maeneo ya Mnazi mmoja - Rems

Wednesday, May 30, 2012

WADAU WETU, ULONGONI GONGO LA MBOTO

 Harriet
 Makongoro Jnr na Janeth
Hawa ndio wadau wetu waliokuwa wenyeji wa kikao cha 17 cha Chendane Foundation

TAKE CARE NA WAZEE WA FEVA

Wazee wa Feva,
wanasaidia sana wakati mwingine foleni za Dar asubuhi na jioni
chunga sana usiingie kwenye anga zao mida hiyo, utaumia
 No 64 kaumia
 
 

BONGO DARISALAMA

Clock Tower
Dar Es Salaam ZERO distance.
Uhesabuji wa umbali wowote kutokea Dar es Salaam huanzia hapa
Opposite Extelecom Building
China builders changing Samora Avenue

CASA DO PENEDO (nyumba ya jiwe)

 Kwa nyuma
Kutoka FORBES
Ni nyumba iliyochongwa ndani ya jiwe

Monday, May 28, 2012

NYANDARO SEND OFF, VIKAO VINAENDELEA

Kikao kikifunguliwa kwa maombi ya kumcha na kumtukuza Mungu
Mdau Mbasa akiwa makini kufuatilia
Eddy, Angel
Ahadi toka kwa mjumbe Sos
Mashangazi wakifuatilia


Saturday, May 26, 2012

BEI MAELEWANO

 Chagua chagua, Mchikichini jana jioni, na maisha yanaendelea

Friday, May 25, 2012

BI MKUBWA, NAE NI MDAU

Sasa anapatikana kwenye mtandao wa Vodacom  +255 75 442 9137

Wednesday, May 23, 2012

KUSOMA KWA MALENGO


Mdau lengo lake la kupiga shule kwa sana ni siku moja kumiliki Hummer.
Njia mojawapo ya kumkumbusha lengo hili ni kupiga kitabu Hummer likiwa pembeni.

Monday, May 21, 2012

A DAY IN KIGAMBONI

 disembarking at Kigamboni
 Lunch at Southern Beach Resort
 Sea view from South Beach Hotel
 Ferry Fish market as seen from Kigamboni
 Boat Park,near Ferry Fish Market
 Control Tower
 Fishermen starting a day out
MV Magogoni

AMA KWELI PENYE MITI HAPANA WAJENZI

 Yale yale, sera yetu Maisha Bora kwa kila Mtanzania
 Kwa mjumbe wetu, vifaa muhimu vya ujenzi bora vinapatikana

Thursday, May 17, 2012

FOLENI LEO ASUBUHI KWETU KINYEREZI

Hata huku kwetu hutokea siku nyingine njia ikafunga kabisa.
Labda ndiyo kukua kwa Kinyerezi yetu................


Mnyororo wa leo ulikuwa wa kilometa mbili hivi, kutoka Njia panda ya Segerea hadi kwa Malisa