Saturday, April 21, 2012

RED EYE

RED EYE iko Mujini Darisalama
Na ishapiga hodi kwetu Kinyerezi.
Ilianza na mtu mmoja
Lakini hadi leo siku tano baadae, imebakisha mmoja
Wataalamu wanasema dawa kuu ya Red Eye ni usafi wa macho tu.
Inaambukiza kutokana na Ku contact na mtu anaeugua maradhi hayo.

1 comment: