Friday, April 13, 2012

JUMAMOSI RAHA

Sabato nyingine imewadia,

Sabato iliyopita ilibarikiwa sana, asubuhi na mapema kuwahi shule sabato

Kuwahi mibaraka ya Bwana
Na kubakia nyumbani baada ya kutoka kanisani


1 comment:

  1. kweli sabato ni njema sana.
    Mbarikiwe na sabato hii pia.

    ReplyDelete