Tuesday, April 3, 2012

FROM THE CANON OF MSALYA "TALL"

Wiki iliyopita Kinyerezi ilikuwa na mgeni, Afande Msalya Tall kwa siku chache. alikuwa safarini akitokea Mbeya kusindikiza mahabusu na akielekea kituoni kwake mkoa mpya wa Geita.

Tukapata nafasi ya kupitia Canon yake anayobeba awapo safarini na kuambulia picha si haba kwa ajili ya blog yetu.

MV Misungwi, Busisi
Busisi

Tall anasema sasa ni mwenyeji angalau huko Geita, na ameanza kuwa na marafiki huko.

Sikutaka kumdodosa tena kama bado mpango wa kuhamia Moro upo

Ni vizuri kuwa na marafiki wema na wazuri

Uchimbaji dawa mitaa ya Mlima Kitonga



Kitonga







CK,
Wadau wa Kinyerezi wakaitumia nafasi hiyo pia kupata kumbukumbu

Sarah

Chef of the Day Tall, Minoo


Pamoja na kujifinya hapakuwa na ujanja kwa Minoo, lazima picha ichukuliwe

No comments:

Post a Comment