Thursday, March 8, 2012

NANI KASEMA BLOGER HAENDAGI FACEBOOK

Nani kasema Bloger haendagi Facebook??
Nahudhuria japo mara chache................
Na leo wakati naingia nikakutana na picha ya Ankal, imepigwa katika madhari mazuri kuliko na imenivutia nami pia.
Inanipa kufikiria Bongo yetu, wapi na lini tutakuwa na sehemu zenye kuvutia kihivi?????
Siyo mimi pekee, kumbe tuliguswa wengi, plz check


Tabitha Etutu
July 2, 2011
• 12 people like this.
Sarah Mgabo: waooh! you look great! na hayo mahekalu ya nn?
Tabitha Etutu: hekalu la budha. kando yake kuna ikulu ya mfalme aliyepita. panautia kwa kweli
Lilian Chambulikazi: Naona unatuwakilisha vema ughaibuni na kitenge chetu!!!
Tabitha Etutu: ndio mwaya, tenge zuri
Jasson Ndanguzi: wow...long time!naona mambo sio mabaya..
Amaning Seth: that is my angle Tabitha
Tabitha Etutu: ha ha ha ha. Thanks Jasson
Tabitha Etutu: Thanks Amani

1 comment:

  1. thanks uncle.
    madhali zinapendeza sana. wanatumia maji ya miferejini kumwagilia maua na nyazi zao. ila wana vifaa vya kufanyia kazi.
    natamni kuiona Tanzania katika hali hii.

    ReplyDelete