Friday, March 23, 2012

AMA KWELI BONGO TAMBARARE

Ama kweli Bongo tambarare,

Huku vikwangua anga vikiendelea kuona kila kukicha kila sehemu ya Bongo,

Hali ya miundo mbinu inatisha

Barabara ya Uhuru, karibu na kituo cha zamani cha Daladala, REMS

Vimiminika toka Vikwangua anga vikiwa vimesheheni vinyesi kando tu ya barabara kuu ya Uhuru, inahitajika kuwa mwangalifu hapa maana magari hupita yakatifua uchafu huo hovyo hovyo.

No comments:

Post a Comment