Thursday, February 16, 2012

ZA MWIZI 40

Muda mfupi uliopita wataalamu hawa waliingia mitaa ya ofisini kwetu. Inaelekea wakijifanya wauzaji/madalali wa magari na kuanza kuonyesha na kukagua magari kwenye parking yetu likiwamo analotumia Blogger

Za mwizi ni 40,

Wamesitukiwa na MKurugenzi wetu na kuanza kukionja kilichomtoa kanga manyoa

Muda si mrefu Patrol wa pikipiki wakawa wamewazukia, na kuvuta umati mkubwa wa wadau wa mitaa yetu Kilichofuatia ni Breki ya kwanza Central..........................................

No comments:

Post a Comment