Tuesday, December 27, 2011

X-MAS NA BIRTHDAY YA MDAU NYANG'OKO

Juzi tarehe 25 DESEMBA 2011

ilikuwa ni sikukuu ya CHRISTMAS

Nikiwa nimejisahau, nikapata simu kutoka kwa mdau

all the way from Sunsi, Kisorya Bunda.

akaniomba nimwimbie HAPPY BIRTHDAY

Nilitahayari sana, maana hata kwenye Roaster yangu hakuwepo

Siku hiyo juzi pia ilikuwa BIRTHDAY ANNIVERSARY YA MDAU

NYANG'OKO EMMANUELLA BAHATI K MSALYA

aka

Mrs MAFUNI

Miaka kadhaa iliyopita alizaliwa pale Hospitali ya Mission ya Kibara

Nyang'oko (right)
Mr Mafuni (right)
Nilimuahidi mdau kuwa leo lazima nimrushe,

Na wadau wote hatujachelewa kumuimbia
HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR
EMMANUELLA BAHATI NYANG'OKO

1 comment:

  1. happy birthday aunt. Mungu akujalie afya na baraka tele.

    ReplyDelete