Wednesday, December 28, 2011

DOUBLE ANNIVERSARY 29 DEC

MIAKA 56 ILIYOPITA ALIZALIWA KULE NAKATUBA
Leo 29 DESEMBA ni Birthday ya Mdau
Mwl NYABHWANGU BELLY K MSALYA



Miaka 56 si haba, mdau akiwa PIDA akitafakari maisha haya


Nakatuba 2009

HAPPY BIRTHDAY DEAR BELLY Snr




Miaka mingi baadae mwanae mdau
GEORGE
anafunga ndoa na
LILIAN
tarehe
29 Desemba 2003



Na leo pia ni Kumbukumbu nzuri ya wadau hawa kwenye ndoa yao








TUNAWATAKIA MAISHA MEMA YENYE HERI MIAKA MINGI IJAYO








3 comments:

  1. happy birthday Belly snr. Mungu akujalie mianka mingine tele utulee vyema.

    ReplyDelete
  2. happy anniversary Mr & Mrs George. Mungu awape heri na fanaka mpate kusherekea miaka mingi ya furaha na baraka tele.

    ReplyDelete
  3. Tunampongeza Mwalimu Belly kwa kuishi miaka mingi katika Tanzania hii. Tunashukuru kwa salaam wadau na mdau Blogger, na kujipongeza wenyewe kwamba Mungu ametubariki na maisha yanakwenda. Miaka 10 si haba, Paulsen tunamkaribisha katika nyumba hii miaka kumi baada ya kuianzisha. Mungu atubariki wote!

    ReplyDelete