Monday, November 28, 2011

SL MAGWE NA SIWEMA WAMEREMETA

Unavikumbuka vikao vyetu vya kule Kizota Bar - Sabasaba(Mwl Nyerere Grounds)?

Jumamosi hii ndio ilikuwa siku rasmi ya mnuso, baada ya maharusi kuweka ahadi zao kanisani waliwasili rasmi kwenye mnuso, Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki kule Kurasini.
High Table iking'aa

Maharusi na baadhi ya wanandugu

Picha mbali mbali za kumbukumbu zilishuhudiwa

Mahararusi Shabani Labani Magwe na Bi Siwema wakiwa na wapambe wao

Mama Chai hakukosekana

Vipande vitatu siku hiyo ilikuwa kitu cha kawaida, kila kona watu walipendeza. Mbassa hakuachwa nyuma

Wataalamu wa kurekodi matukio pia hawakuachwa nyuma pia

No comments:

Post a Comment