Tuesday, November 1, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - NAKATUBA

Hatimae ninaingia Nakatuba, siku ya nane tokea nilivyoondoka Kinyerezi.

with a lot of travel experince.
Ni furaha sana kuonana na ndugu na jamaa. Hasa mkikutanika nyumbani namna hii.
Inanikumbusha sana those GOOD OLD DAYS hapa hapa Nakatuba.

Oops, Mwl Belly hakuweza kuja, lakini tumeonana pale Pida.......

Baruku alikuwepo hapa siku chache zilizopita..............maskini ameikosa furaha hii

Sarah nae ratiba imembana, lakini tulipiatia kumuona pale DOM.

Wengineo wote walikuwepo.

Lawyer, Nyachiriga Mzee wa halmashauri all the way from Mtwara.....

Mimi mwenyewe, mipangilio ya karibu miaka mitano hatimae imetimia.........
Beria from Tsunami Kitunda,

Bithia, mwenyeji Nakatuba

Nyang'oko, Mama Mwl from Sunsi

Mwl Chuma na familia yake wakitokea Geita

bila kusahau Mzee wa makamuzi Makubhi wa mipango Dom

Mrs Chuma, Penina4,na CK3
Nyabhilingi (Mukima)
Shangazi Chausiku
bahati mbaya sana mihogo hii haikuwa na "MBUTE"




Nyabhilingi (Nyamisi)

Na baadae usiku huo tukashiriki sote kumshukuru Mungu, na kujifunza Lesson pamoja.

Somo la "UMOJA KATIKA INJILI"

Mwl wa Lesson, Makubhi

Mfasiri, Mzee CK


Hakika ilikuwa siku ya furaha sana

No comments:

Post a Comment