Wednesday, November 9, 2011

MDAU CK GOES FOR NATIONAL EXAMS

yesterday after day one of exams

Leo 09.11.2011

Mdau alidamka mapema mno.

Kwa hakika si kawaida yake

Leo amejihimu kwa sababu anabidi kuweko shule mapema kwa ajili ya mtihani wa taifa wa darasa la nne unaofanyika leo na kesho.

Nakumbuka nilifanya mtihani kama huo November 1970.

Sina hakika kama mtihani wa miaka hiyo 42 iliyopita utakuwa kwa kiwango kile kile cha leo.


KILA LA KHERI MDAU Mr. CK KWENYE MTIHANI WAKO WA TAIFA WA DARASA LA NNE

1 comment:

  1. Kila la heri Bw. CK. Hivi majuzi tulipokuwa nyumbani Mimi Kaka George, Babu Mzee CK, Kaka Eddy, Kaka Eliud, Bibi Thereza tukangoja hadi karibu saa 2 usiku hukuonekana ulikwenda wapi na ulirudi saa ngapi?! Au Mdau ulikuwa umejichimbia sehemu ukipata nondos ili leo zikutowe?! Inshallah Mungu ni mwema.

    ReplyDelete