Hakuna namna ya kuondoka.Lazima spare ipatikane, irudishiwe ndipo safari itaendelea. Zilikuwa siku nne za kujionea mambo mbalimbali
God's Garage team. Mujungu (right), Jita (not in photo) and a number of trainnee assistants Hii nikaipenda, Ubunifu wa mjasiriamali mmoja Bunda. Pictures and useful Quotes are sold along Nyerere Rd
Bunda,Opposite Gereji ya God ndio ikawa meeting point yetu na jamaa na ndugu mbalimbali. Super Mteki alifika kutuona
Father Mwayai, muda mwingi alifika kutujulia maendeleo ya shughuli yenyewe ya matengenezo. wakati mwingine tukapata na nafasi ya ku peruzi
Kumbe hata kwetu Bunda, Gari za watalii hupita,mojawapo ikiishia ishia from Musoma to Mwanza
Tukawa part and parcel ya kijiwe hiki, stand ya Vi "Noah" kwenda Musoma
Nyamasisis walitutembelea pia
Kijiweni kwetu kuna wakati palikuwa hot............
Only in Bunda.........Paka Maalum mwenye shughuli maalum ya kulinda panya dukani, akipokea maelekezo maalum kupitia mlango maalum
No comments:
Post a Comment