Tuesday, September 27, 2011

NASHINDWA KUFIKIRIA ITAKAVYOKUWA

Nikiwa nimepanda nyuma ya Pick up mitaa hii ya Uhuru/Kawawa na Olympus yangu mkononi nilivutiwa na taswira hizi za msongamano wa magari na watu.
Najiuliza,
Kila siku Bongo Dar Es Salaam watu wanaongezeka.
Miundo mbinu ni ile ile
Resources ni zile zile
Maeneo ndiyo yanazidi kufungwa.
Ni nini kitatokea miaka 15 - 25 ijayo?
Nashindwa kabisa kufikiria itakavyokuwa.
Ndiyo maana natamani sana kuweko Nakatuba kuanzia 2020


1 comment:

  1. Miji yetu haina Planners kabisa miaka 15 kama Yesu hajarudi Dar si sehemu ya kuishi tena. Tena kwa uongozi wa CCM hali itakuwa mbaya zaidi ya tunayotarajia. Poleni na ongezeko la joto Dar.

    George - Moro

    ReplyDelete