Mimi navaa tai mara kwa mara,
inaelekea tai inaongeza kidogo hadhi ya vazi kama imevaliwa sawasawa kulingana na kanuni zake.
Lakini kwa nini wengi hawataki.hawafungi tai?
Siku hiyo wengi iliwakumbusha mbali.
Kuna anaekumbuka mara ngapi amekwisha vaa tai.
Alikuweko ambae tai yake huwa haifunguliwi hata wakati wa kufua
kulikuwa na hoja nyingi kadha wa kadha
za kuchekesha na kufurahisha kuhusu ufungaji wa tai...
Kumbe tatizo la wengi kutokuvaa tai ni namna ya kuifunga.
Kwa hali hiyo wanaoweza kufunga walitoa "DEMO" siku hiyo
No comments:
Post a Comment