Wednesday, July 6, 2011

AJALI

Jana nikiwa hapa ofisini, nikapata picha ya gari lililopata ajali
Lakini leo asubuhi nikakuta majeruhi wa ajali njia panda ya Segerea.
Mashuhuda wanasema ni ajali ya kugongana pikipiki mbili from different direction



Ilibidi tu niwe na huruma niwe msamaria mwema na kumchukua mmoja kumuwahisha hospitali ya Amana

Hakika alikuwa maeumia sana

Lakini huko Amana, Mmmmhhhhh

Sikuona Muuguzi au Mganga aliyekuwa na haraka ya kumsaidia mgonjwa wetu.

hivyo ikalazimu abiria wangu wengine kukimbilia strecher na kumweka mgonjwa na kumuwahisha kwa Mganga

No comments:

Post a Comment