Bila kutarajia ikaja kuwa siku itakayobakia kwenye kumbukumbu za wana Kinyerezi kwa muda mrefu.
Siku hiyo majira ya mchana, Gari ya jirani yangu Miraji Abdallah "Mwamba" ikiendeshwa na mwanae Salum. akitokea kuchota maji Majumba sita akiwa kabeba pia vijana wenzie waliokuwa wakitokea mpirani ilipata ajali na kusababisha vifo vya vijana wanane papo hapo na majeruhi wengi.
vijana ndiyo kwanza wakichipua na matumaini mapya, lakini nyota zikazima ghafla
Sheikh wetu mkuu alikuwepo kuwafariji wafiwa




Mwenyekiti wa mtaa Mheshimiwa Kafunya
Mheshimiwa bankole



Wazee wetu, Nurdin
Wanaharakati, Nyangaliro "Osama"
Hakika ilikuwa siku ya majonzi makubwa..........
ambayo itachukua muda kusahulika miongoni mwa Wana kinyerezi
No comments:
Post a Comment