Wednesday, March 23, 2011

MDAU AMWAGA MSAADA KWENYE BLOG

Mdau Dr George jana baada ya kuwasili amekabidhi msaada wa Kamera ya kisasa kwa Admin wa Blog ya Msalya kama alivyokuwa ameahidi wakati wa safari yake iliyopita.

Ni OLYMPUS, Digital Camera VG-120/DE-705 toleo la January 2011

1 comment:

  1. wakati wa safari ya nakatuba ifanye kazi kikamilifu, leteni taarifa mapema kuhusu itenerary

    ReplyDelete