Tuesday, January 18, 2011

SAFARI YETU KARUKEKERE KWA NYAMWEYA - PART TWO


Wadau wakaendelea na mtindo wa kuunga unga.....................................
Kutoka PIDA kituo kinachofatia kilikuwa sasa ni Nakatuba

Kabla ya kutoa mguu, picha za kumbukumbu zikachukuliwa
Iliyofuatia ni Breki Nakatuba................................
Mdau akagundua alama maalum ya jiwe..............


Nakatuba waliendelea kukutana na wadau wengine
Vitoweo ikawa kujichagulia
Matunda bado kama enzi zile...........................
Hakuna shida ya kwenda kwa Manana kutafuta maji,
Baada ya hapo muguu wa Karukekere ukaanza, usafiri ni Boda Boda ya kusomba kidogo kidogo
Stop over ya kwanza ikawa Bulamba

Hatimae wadau wakafika Karukekere
Mudau mkuu wa Hapo Mr Macklaude alikuwepo kuwapokea



No comments:

Post a Comment