Wadau wawakilishi wa Wadau wa Dar waliamua vekesheni iende kwa kuunga unga,
Mdau Chief Photographer wa Blog aliongoza msafara................. kazi nzito lazima kutafakari
Mdau akiwazia, huko niendako..........................
Kukoje??????
Na wengine waliivutia pumzi vekesheni yenyewe "Defostration" kila sehemu............ Naikumbuka na kuililia Nakatuba kwa jinsi ilivyochakachuliwa siku hizi. Bila ya shaka ilianza hivi hivi Wadau waliweka dhamana yao kwa mkongwe wa njia ya Dodoma - Shabiby Line Breki ya kwanza ikawa Dom Wadau wakajichanganya Kulipokucha safari kama kawaida ikaendelea Bunda Bus, mtoto wa nyumbani zamu hii akapewa dhamana Bibi Penina alikuwepo kuwapokea walipofika PIDA Furaha ilioje kukutana na wadau wengine huko Na kushiriki pamoja katika Sabato ya Bwana
Ama kweli ilikuwa furaha!
ReplyDeleteNatamani ningekuwepo. Ila naamini Mungu atatubariki sote kwa pamoja!
A memorable trip in deed.
ReplyDelete