Tuesday, January 4, 2011

MDAU AMINA-TEREZA (Minoo) GOES TO SCHOOL

Leo ni siku muhimu kwa mdau Minoo, mziwanda wa kule kwetu Kinyerezi .

Ni siku ya kuanza safari ndefu ya maisha ya shule.

Na leo aliamuka mapema sana kwa hamasa

Maandalizi bila kuzembea

akipigwa tafu hapa na pale





Final touches
and there the Journey starts

Kila la kheri Minoo katika safari hii ndefu, ingawa kwa sasa sidhani kama unaitambua vilivyo

..................MOLA NA AKUANGAZIE..................

2 comments:

  1. Kila la heri mdau Minoo katika safari yako ya miaka saba. ukijitahidi unaweza ukaimaliza kwa miaka 5 au 6 tu, karibu juu tunakungoja.

    Kaka

    ReplyDelete
  2. Hi Minoooo!! Nami kwa niaba ya Bj wa kule Kipunguni,ambaye naye ameanza safari hiyo kwa shule ya awali, kule Segerea Genius King's nusury. Tunakutakia kila heri na baraka tele kipindi chote cha miaka 7 ya masomo ya msingi,tunaamini huo ni mwanzo wa safari ya kuelekea Sec,high School then University. MUNGU akubariki sana,akutangulie kwa kila njia. Akupe Afya Njema.

    ReplyDelete