Total Pageviews

Sunday, January 23, 2011

HUYU NDIYO Dr GEORGE, NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA

Presentation na baraka zote za Mama pembeni

ikifuatiliwa kwa uzuri na judges
maswali hayakukosekana...............
kumbukumbu muhimu...........................
familia ikifuatilia
kuna wakati wengine uzalendo uliwashinda
.......for every successful men, there is always.........................
baada ya kazi nzito, pongezi toka kwa familia
na wadau mbalimbali walikuweko kutoa mkono wa hongera



Friday, January 21, 2011

Tuesday, January 18, 2011

SAFARI YETU KARUKEKERE KWA NYAMWEYA - PART THREE

Maandalizi yakaanza

Ujenzi nao ukiendelea

Kila mtu akishiriki kukamilisha kazi iliyotuleta

Na mashuhuda walikuwepo..............

Na hatimae hapa ndipo alipopumzika Bi Rebeca Nyamweya na mwanae Maingu







Baada ya shughuli ya Karukekere, wadau wakaishia Rest Home ya Mwl pale Bunda



SAFARI YETU KARUKEKERE KWA NYAMWEYA - PART TWO


Wadau wakaendelea na mtindo wa kuunga unga.....................................
Kutoka PIDA kituo kinachofatia kilikuwa sasa ni Nakatuba

Kabla ya kutoa mguu, picha za kumbukumbu zikachukuliwa
Iliyofuatia ni Breki Nakatuba................................
Mdau akagundua alama maalum ya jiwe..............


Nakatuba waliendelea kukutana na wadau wengine
Vitoweo ikawa kujichagulia
Matunda bado kama enzi zile...........................
Hakuna shida ya kwenda kwa Manana kutafuta maji,
Baada ya hapo muguu wa Karukekere ukaanza, usafiri ni Boda Boda ya kusomba kidogo kidogo
Stop over ya kwanza ikawa Bulamba

Hatimae wadau wakafika Karukekere
Mudau mkuu wa Hapo Mr Macklaude alikuwepo kuwapokea