Tuesday, December 28, 2010

SIKU MDAU LULU ALIPOKULA NONDOZZ

Mr Blogger alilazimika kuwa MC
Mdau na wanafamilia wa karibu
Keki kwa Mzazi

1 comment:

  1. HERI YA MWAKA MPYA!!!

    HONGERA KWA SIKU MAALUMU KAMA HII. MUNGU AKUBARIKI SANA,AKUPATIE MIAKA MINGI ZAIDI ILIYO HERI NA BARAKA TELE. NATUMAI TUNAJIFUNZA MENGI TOKA KWAKO. KWA NIABA YA BJ NA MAMA BJ NA KIPUNGU WOTE. TUNAKUOMBEA UNAPOKUMBUKA SIKU HII MUHIMU KWAKO.
    EDDY(BABA BJ)

    ReplyDelete