Monday, December 20, 2010

ILIKUWA WIKI YA PILIKA NA KUMBUKUMBU

Wakati ikiishia, wiki iliyopita ilikuwa na mambo yake mengi. Lakini yaliyoleta pilika pilika na yatakayoacha kumbukumbu za muda mrefu yalianzia hasa ijumaa.

IJUMAA

17.12.2010

Mheshimiwa wa Halmashauri alitunukiwa leseni ya Uwakili na Serikali.

Safari ya Sheria ndio imeanza.

HONGERA NYACHIRIGA
JUMAMOSI
18.12.2010

Pilika pilika zikalazimisha kuvuka bahari kwenda Kigamboni, wengine tukaingia foleni ya masaa matatu.

Huko,

Mdau Lulu Bright Msalya alikuwa akilamba Nondozzz yake ya kwanza ya Siasa, Sayansi na Maendeleo ya jamii toka Mwalimu Nyerere Academy

Hongera sana Lulu.
JUMAPILI

19.12.2010

Pilikapilika zikaanzia Ubungo Terminal

Wadau Mr & Mrs Mwayai Msalya Baada ya ziara ya kuzuru kaburi la mdau Josia walikuwa wakikwea pipa "NAJMUNISA COACH" kurejea Bunda
SAFARI NJEMA

Na baadae jioni hiyo

Wadau wa Kule Kinyerezi wakapata nafasi ya Kumwimbia HAPPY BIRTHDAY ya miaka 17

Mdau SARAH BILLY MSALYA

Ki Nokia hakikuweza kunasa kwa kuwa hakikuwa na mwanga wa kutosha

Asubuhi hii

Ki Nokia kikafufuka
Kikamnasa mdau alieamuka alfajiri kwa ajili ya kufanya usafi.

Leo ni BIRTHDAY yake ya NANE

Happy Birthday NOEL CK

No comments:

Post a Comment