Total Pageviews

Tuesday, April 3, 2018

PHOTOS FROM DODOMA

 A Breakfast in Open garden
Nyamagoti na watoto wake.
Medical Administration from Exparts
Bhituro na Nyamagoti.

A YEAR COUNTS



30 April 2017,
Mwongozo, Kigamboni.
Nikiitikia kauli ya "Panda Mti"

30 March 2018,
Nimerejea Mwongozo, Kigamboni.
Hapo ndipo unajijutia " Kwa nini Sikupanda Miti mingi"

Nitarejea tena hapa.

Monday, April 2, 2018

THIS IS BABU CHAI

Picha ya kuchora ya Babu Chai,
Kama alivyoonwa na kuchorwa na Artist Priscilla George.
Kihonda Ngerengere Jumapili usiku.
Ni kipaji kinachoanza kujitokeza kwa Priscilla, aliyeko darasa la Nne shule ya Msingi Agape, Kitungwa Morogoro.
Mchoraji huyu alitumia dakika kumi kumuangalia Babu na kukamilisha mchoro wake.
Hongera Pricilla.

Wednesday, March 28, 2018

MY WONDERFUL PASSENGER



Abiria wangu leo Asubuhi, 
Kinyerezi - Msimbazi.
Baada ya kuingia tu akafunga mkanda, Dakika chache baadae usingizi fofofo.
Nilifika nikamuacha garini, hadi alipokuja kuamushwa Robo saa baadae

Monday, March 26, 2018

UVAMIZI WA PANYA

Panya wasiojulikana wameamua kunitia hasara isiyojulikana.
Kinyerezi kwetu.