Pale gari ya Msaada kwa wagonjwa inapohitaji msaada.
Kawawa Road, leo asubuhi.
Total Pageviews
Thursday, March 8, 2018
NAKATUBA KWETU
Nenda Kaskazini au Kusini,
Mashariki au Magharibi,
Pazuri kuliko kote ni Nyumbani,
Nyumbani Nakatuba hivi karibuni.
Mashariki au Magharibi,
Pazuri kuliko kote ni Nyumbani,
Nyumbani Nakatuba hivi karibuni.
Sunday, March 4, 2018
PHOTO SHARING FROM BUNDA
Wazee ni Hazina yetu,
Tuna wajibu wa Kuwatunza na Kuwaenzi.
Bi Wakubwa Penina, Nyabhuruma na Neema.
Bunda, Jumamosi
Tuna wajibu wa Kuwatunza na Kuwaenzi.
Bi Wakubwa Penina, Nyabhuruma na Neema.
Bunda, Jumamosi
KUZALIWA MARA YA PILI
Shule ya Sekondari Kitungwa,
Amina Billy Msalya
Anapata Ubatizo katika Kanisa la Waadiventista Wasabato Kitungwa.
Wednesday, February 28, 2018
SHULE YETU NAMALEBE: WEWE UMEIFANYIA NINI?
Wana wa Namalebe!
How old are You?
Where are You today?
What are You doing?
Did you know that your Old School, Namalebe is turning 70 Years old next year?
Do you remember where Namalebe have taken you from those Good Old Days to where you are Today?
What have you done to Namalebe in Return!
Wana wa Namalebe,
Let's Go and Tell Namalebe
AHSANTE SANA.
Please make arrangements to attend the Event in June 2019,
You gonna enjoy meeting your Old Colleagues there.
GET PREPARED.
Tuesday, February 27, 2018
KUSHIRIKI SABATO NYUMBANI

Wakati wa likizo yangu nilipata Baraka za kushiriki Sabato Mbili katika kanisa la Nyumbani la Nakatuba.
Tulipata kubarikiwa sana kwa mafunzo mbalimbali, kujifunza Lesson pamoja, Nyimbo na Mahubiri.
Ni Kanisa hili Mzee CK Msalya alikuwa na ndoto ya kuliona likikamilika, lakini muda huenda haraka mno. Ukamilikaji wake ni Changamoto kubwa sana kwa washiriki wa hapa,
Familia ya Msalya pamoja na wadau wa Blog wameombwa kuendelea
kutowatupa mkono washiriki wa Nakatuba.
Chochote kidogo kitakachokuwa kikipatikana kikasaidie kunyanyua
Juu Kanisa la Bwana Nakatuba.
Wednesday, February 21, 2018
QUEUING FOR NATIONAL IDENTITY
Nakatuba na Namalebe
BusambaraZoezi la kuwapatia wananchi wote Vitambulisho vya urai wa Tanzania liko mkoani kwetu.
Nilikuwa Likizo karibuni,
Ni yaleyale ya Dar Es Salaam tulipokuwa na zoezi hilo. Foleni ndefu za kuchosha na mipangilio isiyoeleweka huku kukiwa na Mashine chache za kuandikishia.
Subscribe to:
Comments (Atom)































