Total Pageviews

Saturday, June 3, 2017

LANDSLIDE

Be Aware!
Land Sliding toward the Road.
Magereza, Kinyerezi Segerea Road

Thursday, June 1, 2017

KWAHERI MZEE CHISUTE MTEKI NYARUGA

1927 - 2017
Hatimae jana Mchana Mpendwa wetu amepumzishwa hapa


UZINDUZI STENDI YA SIMU 2000

Mbio za Mwenge 2017
Uzinduzi wa Kituo cha Mabasi Simu2000
Kazi nzuri ya Mkandarasi Mzawa Delmonte (T) Limited.

Picha kwa hisani ya Mdau wa Blog: Rajabu Athumani

Monday, May 29, 2017

KWAHERI WILLIAM MWENURA

William Mwenura
1938 - 2017
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu wakati wa kusheherekea tamati ya maisha ya William Mwenura katika kumtumikia hapa Duniani.
Jumamosi 20 Mei 2017,
Ndugu, Jamaa na marafiki mbalimbali tulikutanishwa hapa Msingwa.

Msalya family iliwasilishwa
Wachungaji kadhaa wakitoa mafundisho
Bhinamo & Mtaki
Miss Jane Nimrod Ching'oro
Mrs Nyaruga Mteki
 Mwalimu wa manyori wa Siku nyingi alikuwepo
 Team Bwasi
 Francis Musibha
 Musso
 Bhusee
 Torokoko
 Mwaituro
 Kambira
 Shaft, jirani Ubungo tumeonana takribani baada ya miaka 20
 Miss Chilemeji "Patel"
Mkama

TANZIA, MZEE CHISUTE MTEKI

Mzee CHISUTE MTEKI

Baba, Babu yetu na rafiki yangu Mkubwa amefikwa na Mauti usiku wa kuamkia 
leo 29 Mei 2017, nyumbani Musoma.
Taarifa zaidi kadri zinavyotufikia tutajulishana.

Sunday, May 28, 2017

ZAWADI YA MLIMA KARMEL

Mlima wa Karmel, Pwani ya Israel Bahari ya Kati. Ni hapa Nabii Eliya alipatumia kwa maombi.
Kama Nabii Eliya, Mzee William Mwenura ametuachia pia Mlima wa Karmel, Msingwa.
Ni mlima kwa ajili ya maombi ya faragha.