Total Pageviews

Monday, February 27, 2017

PANDA MTI

Panda mti wa matunda ufaidi vyote.
Matunda
Na kivuli.
Yusuf Makamba, RC DSM
Kwa wakati wake.

Sunday, February 26, 2017

TANZIA - KAITIRA MAGOTI KUBHOJA

Kaitira Maghoti Kubhoja,
1924 - 2017

Mzee wetu, aliyekuwa  First born  wa Babu yetu Magoti amefikwa na mauti usiku wa kuamukia leo nyumbani kwake Mabhuimerafuru.
Kwa siku za karibuni afya yake imekuwa ikizorota kutokana na kusumbuliwa na miguu pamoja na umri kutopea.
Tutamkumbuka kwa mengi.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa amani Ankal Kaitira.

Tuesday, February 21, 2017

KIPAUMBELE BARABARANI

Tabata asubuhi,
Gari nne zikitafuta kipaumbele kwa matumizi ya Barabara.
Basi ya Mahabusu.
Gari ya Askari Magereza wakitoka kibaruani
Gari la wagonjwa
Gari la Serikali likimuwahisha Afisa ofisini

LALA SALAMA

Count down for our LY,
Minoo, Kinyerezi kwetu.

Monday, February 20, 2017

MSIWE NA WASIWASI

Mathayo 6
 25‘‘Kwa hiyo nawaambia, msiwe na wasiwasi kuhusu maisha yenu: mtakula nini au mtakunywa nini, au kuhusu miili yenu, mtavaa nini. Je, maisha si zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi? 26Waangalieni ndege wa angani, wao hawapandi wala hawavuni au kuweka ghalani, lakini Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Je, ninyi si wa thamani zaidi kuliko hao ndege? 27Ni nani miongoni mwenu ambaye kwa kujitaabisha kwake aweza kujiongezea hata saa moja zaidi katika maisha yake au kuongeza dhiraa moja kwenye kimo chake ?