Bodaboda na abiria wake aliyebeba mbuzi, wote bila kofia wakiwapita askari wa usalama barabarani,
Opp Polisi Tazara
Total Pageviews
Wednesday, October 21, 2015
Monday, October 19, 2015
TANZIA
Babu yetu Mzee Kasereka Maande hatunae.
Ameaga dunia juzi 17 Oktoba 2015 huko Mabhui.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Ameaga dunia juzi 17 Oktoba 2015 huko Mabhui.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Saturday, October 17, 2015
KAZI NI KAZI
Nadra sana kumwona Kondakta wa Daladala akiwa Mdada,
Lakini sivyo kwa daladala hii ya Buguruni Manzese.
Mdada huyu anawajibika vilivyo, hapa anapiga debe Buguruni Rozana.
Jumamosi asubuhi
Lakini sivyo kwa daladala hii ya Buguruni Manzese.
Mdada huyu anawajibika vilivyo, hapa anapiga debe Buguruni Rozana.
Jumamosi asubuhi
Friday, October 16, 2015
Subscribe to:
Comments (Atom)