Total Pageviews

Wednesday, August 19, 2015

SAMAKI HATUA KWA HATUA

 Mwaloni kwa Mvuvi,
Sokoni kwa Mchuuzi
Mezani kwa Mlaji

NAFASI YA UBUNGE KAMA FURSA






 Mkutano wa kampeni wa watia nia ya Ubunge kupitia CCM jimbo la Mwibara.
Kijijini Nakatuba 30 Julai 2015

NATURE AT ITS BEST

Ndege aina ya "Misibhye" wakifurahia chakula chao.
Kwetu Nakatuba hivi karibuni.

EXPEDITION TO THE GREAT WALL OF NYACHIRIGA

Muonekano wa picha za Satelite, za Kisiwa cha Kubhwenyi na Ukuta wa Nyachiriga na eneo lilipokuwa Boma la Mtawala.
 


“OBHUTINGO BHWA NYACHIRIGA” Ikimaanisha “Ukuta wa Nyachiriga” ni mojawapo ya historia ya kipekee isiyojulikana sana, na inayokaribia kufutika.
Ukuta huu upo kisiwani Kubhwenyi, Muchigondo.
Kitaalamu zaidi Ukuta huu unaanzia nyuzi -2.014759, 33.295688 hadi -2.014867,33.296892


Ungana nami katika safari hii ya kutembelea "Obhutingo bhwa Nyachiriga"...........................

Tuesday, August 18, 2015

TRAVEL IN MCHOMOKO STYLE


Usafiri maarufu kwetu kwa jina la Mchomoko,
Kibara - Iramba route kwa bei ya Flat rate Tshs 3,000/=
Mbele Abiria 2 au 3 kutegemea na maumbo yao
Kati Abiria 4 au 5
Mizigo Abiria 4 hadi 6

UHONDO WA NGOMA


Raha ya mdundo wa ngoma,
Uingie mwenyewe ucheze.
Nakatuba kwetu recently

Monday, August 17, 2015

WATIA NIA WETU WANA NIA YA DHATI?

Mkutano wa watia nia ya kugombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi.
Juu ni hali halisi ya vyanzo vya maji Kata ya Chitengule, miaka 54 tokea tujipatie uhuru.
Nakatuba, karibuni.