Bahari ilipochafuka,
Jahazi letu limezama.
Uhuru Rd/Msimbazi Round about
Total Pageviews
Wednesday, September 10, 2014
KILA LA KHERI MDAU CK
"Trusting God won’t make the mountain smaller but it will make climbing easier. Hope you will be able to climb all your mountains always. Good Luck!! "
Mdau Noel CK, na LY wenzie nchi nzima leo na kesho watakuwa kwenye mitihani yao ya kumaliza darasa la saba,
Tunawatakieni kila la kheri.
Thursday, September 4, 2014
KILA KAZI NA CHANGAMOTO ZAKE
Kila kazi ina ugumu wake,
Kondakta wa daladala pale gari yake inapoharibika inahitajika umakini mkubwa.
Abiria wote wanadai kurudishiwa nauli, hata wale waliokuwa wamepungukiwa wanahitaji full.
Waliokuwa washuke kituo kinachofuta wanahitaji full.
Usipotahadhari wapita njia nao watadai nauli full.
Mwisho wa yote unakuta pamoja na panda shuka ya abiria njiani, umerudisha kila kitu bila kubakiwa na senti, pengine bado ukidaiwa.
Naam, ni changamoto tu,
Na ni kwa kila aina ya kazi.
Kawawa Road, Jumanne

Wednesday, September 3, 2014
FAIDA YA KUKAA USHAMBANI
Ujasiriamali mdogomdogo.
Mara moja moja unweza kubadili mboga,
au kupata chakula bora
Ni kwetu Kinyerezi.
Mara moja moja unweza kubadili mboga,
au kupata chakula bora
Ni kwetu Kinyerezi.
Subscribe to:
Comments (Atom)