Total Pageviews

Wednesday, May 14, 2014

USINGIZI KIBOKO

Usingizi kiboko yao,
Hukesha waliojaaliwa.

SHOWING LUV


 Kutoka Uswazi kwetu, Mdau Teacher leo Gari yake kapata "deiwaka".
Ni nafasi adimu ya kushow luv kwa wadau kijiweni.

HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA

Daraja letu, Uswazi kwetu.
Kinyerezi Road, baada ya daraja la chuma.
Ni bora mamlaka zinazohusika zikachukua tahadhari mapema.
Maana ha mbuyu ulianza kama mchicha

Monday, May 12, 2014

BONGO TAMBARARE

Ama kweli Bongo tambarare.
Pale Mombasa ukionekana umepitia ile parking iliyotelekezwa na Daladala,
adhabu yake ni kuwalipa Tanroads maelfu ya shillingi.
Lakini hapo Buguruni, usoni mwa Polisi, ruksa kupark katikati kwenye Road reserve.
Ama kweli tembea ujionee.

MJESHI ANKAL

Ankal Lameck Magoti
Afisa Mstaafu wa Jeshi
Tabora