Total Pageviews

Thursday, January 23, 2014

HONGERA Bi SALAMA NA Bw. D.W.MSENGI

Bw Donald W. Msengi na Bi Salama Mwakibete
Siku ya upokeaji mahari na kukamilisha taratibu za ndoa.
Bagamayo, Jumapili

NI VIJIMAMBO TU

Corner Bar,
Bagamoyo jumapili.
Supu kwa foleni.

MDAU CHICCO

Ama kwa hakika siku hazigandi.....
Baada ya miaka dazani hivi, Mdau wetu Chicco
Mdau mkubwa wa enzi za Chaibora alikuwepo kijiweni ku"share" stori.
Samunge, Ijumaa 17/01

Thursday, January 16, 2014

LY ?

Kwa enzi zetu ni LY hawa.
Kujiandaa kumaliza darasa la nne..........
Kujiandaa kumaliza darasa la saba.........
Kinyerezi kwetu, leo asubuhi.

Wednesday, January 15, 2014