Total Pageviews

Friday, July 19, 2013

QUES KAMA KAWA

Na kama kawaida, foleni asubuhi ndio zetu
Mandela na Kigogo Roads,
Leo asubuhi

KUMEKUCHA KINYEREZI

Kumekucha Kinyerezi,
kila mmoja anawahi kwenda kutafuta riziki ya siku.
Tathimini yangu leo asubuhi...........
Riziki yetu kubwa Kinyerezi ipo upande wa Mashariki.
Watu wengi wanaelekea upande huo.

CHEZEA MILLY WEWE

 
 
 
 
 
 
 
Milly akipozz
Kinyerezi kwetu jana Usiku

Thursday, July 18, 2013

BORA KUFIKA

Bora kufika, usalama baadae
Uhuru Road, Bungoni
Leo asubuhi