Total Pageviews

Monday, May 13, 2013

KIKAO CHA TATU - LULU SEND OFF

Vikao vyetu vinaendelea.
Jumamosi hii ilikuwa ni kikao cha tatu,
Na wadau wanaendelea kutuunga mkono

DALADALA ZINA MANENO

Kwa uelewa wangu kuharisha ni ugonjwa,
Je? kwa msemo huu ndio tuseme Bata yu aumwa wakati wote!

Thursday, May 9, 2013

Wednesday, May 8, 2013

MUUNGWANA ANAPOVUNJA SHERIA


Muungwana huyu wa Break Down akikatisha barabara moja kwenda nyingine kwa kupanda  ukuta wa hifadhi ya barabara uliopo katikati.

TUMETOKA MBALI.......

Kwa hakika mambo ya Teknolojia yametutoa mbali.