Dunia ya utandawazi,
Ulimwengu kijiji siku hizi.
Midoli mitumba kedekede kutoka nje kwa ajili ya michezo ya watoto.
Enzi za makuzi ya Blogger ilihitaji ubunifu binafsi kuweza kujitengenezea Mdoli wa gari wa kuchezea.
Mchikichini leo mchana
Total Pageviews
Thursday, March 21, 2013
MAKAZI YETU
Hii siyo Uswazi kwetu,
Ni mujini kati, Msimbazi Kariakoo.
Na hapa ndio makazi yetu walinzi wa raia na mali zao.
Ni mujini kati, Msimbazi Kariakoo.
Na hapa ndio makazi yetu walinzi wa raia na mali zao.
BORA MZIGO UFIKE
Tazara, Nyerere Road leo asubuhi
Kamera ya Blog ikamnasa Mheshimiwa huyu akisafirisha Mbuzi hai wanne kwa kutumia usafiri wa pikipiki yumkini kutoka Vingunguti Kiembembuzi kuelekea katikati ya mji.
Pengine ni Maandalaizi ya Pasaka au ni Biashara.
Hata hivo ilibidi kipindi asaidiwe na wasamaria wema kuwaweka sawa kwa vile walikuwa wakurupuke.

Tuesday, March 19, 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)