Total Pageviews

Tuesday, July 17, 2012

KINYEREZI YETU

Jumapili
Weekend baada ya kuwa nimeshinda home, baadae nikatoka kidogo kuona madhari ya Kinyerezi yetu

Kuna mabadiliko makubwa na ya haraka, lakini madhari nzuri bado zipo
Nyumba nzuri za kisasa zinaota kila uchao
Lakini msafara wa Mamba, na Kenge nao wapo.
Bado kuna vyoo vya hali duni kabisa

Monday, July 16, 2012

KAZI NI KAZI

Jumamosi
Magomeni Mwembechai, karibu na Itumbi Hotel

ANNA JOEL JOSHUA

Anna Joel Joshua Kaitira
Mjukuu
Wiki hii alitutembelea kwetu Kinyerezi
akiambatana na Mama yake na mdogo wake
all the way from Mafia
Inatia raha unapokuwa na wageni, kwani huwa nahisi kuongezeka kwa mibaraka ndani ya nyumba yetu

UKONGA MADAFU

Ukonga madafu jumamosi
Life goes on

Thursday, July 12, 2012

UNAPOIONA KAZI YAKO NGUMU!!!!

unapoona kazi yako kuwa ngumu...............
hebu angalia na ya mwenzako

FOLENI ZA BONGO KAMA KAWAIDA

Leo asubuhi, Service Road Scania Vingunguti, Nyerere Road
Jana jioni, Msimbazi Mission Kawawa Road

NDANI YA KIEMBEMBUZI KWA MDAU KAGERE

Wadau Silla na Kagere
Ghetto
Siyo mbuzi tu, kuna pia supu ya ulimi

Jana tukajikuta tumeingia mitaa ya mdau Kagere.
Ni vijiwe vya Blogger vya zamani enzi zile za ChaiBora.
Titanic, Vingunguti.
Mdau Kagere anakaa nyumba ya nne kutokea hapo, hivyo tukapata na nafasi ya kutembelea hadi Gheto kwa mdau.