Total Pageviews

Sunday, October 1, 2017

PAIPPI SKI CLUB

Njiani kuelekea mji wa Turku,
Karibu na Paimio tumealikwa kutembelea Klabu ya Michezo ya kuteleza juu ya Barafu.
Ni jengo maalumu kwa ajili ya uhifadhi wa Barafu iliyoganda kwa muda mrefu.
Vijana kwa wazee wako mazoezini.
Ni maandalizi pia ya kujiweka tayari na Kipindi cha Baridi kinachoanza.

SALO REGION VOCATION COLLEGE

Chuo cha Elimu ya Ufundi, Salo
Mji wa Salo, wenye idadi ya wakazi inayokadiriwa kuzidi kidogo 50,000
Ni mfumo rasmi wa Elimu unaowafunza vijana kwa vitendo.
Nchini Tanzania huu ni mfumo kama wa VETA
Mojawapo ya Kozi wanazoziendesha katika Maarifa ya Jamii ni uendeshaji wa Mgahawa.
Kwa uzoefu huo, Wanakuwa wenyeji wetu kwa chakula cha Mchana
Jumatano tukiwa njiani kuelekea Mji wa Turku.


OLD MAIL DELIVERY SYSTEM

Mfumo wa usambazaji Barua na Vifurushi wa kale,
Pamoja na ujio wa Technolojia ya kisasa ya Mtandao,
Turku hawajautupa kabisa Mfumo wao wa Zamani.

EASY LED COMPANY, SALO FINLAND

27th September 2017,
On our way to Turku, a stopover to Salo Town.
MeriniityKatu, Salo - Finland
Home of Easy Led Company, A Finnish Company founded in 2006 and is specialized in manufacturing of Energy efficient LED-Lighting for Industry, Road, Area Commercial, Retail and Office spaces.